Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Mwaka Kogwa - Zanzibar 2008

25/07/2008

Juu wadau wakikimbia na kuimba wakati wa sherehe za Mwaka Kogwa huko Makunduchi wikiendi ilopita, na chini wakipigana bakora za majani ya migomba inasemekana kufanya hivyo ndiyo kuondoa kinyongo baina yao katika sherehe hizo. Hizi ni sherehe za kuhitimisha mwaka mpya wa ki-shirazi zinazofanyika kila mwezi Julai.

Mshike mshike hapo!

Kinamama wakiimba na kucheza wakati wa kuadhimisha mwaka kogwa huko Makunduchi.

Kibanda hujengwa asubuhi mapema na kuchomwa moto mchana katika kuhitimisha sherehe za mwaka kogwa.

Makunduchi panakuwa hapatoshi wakati wa mwaka kogwa.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©