Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Gari ya BMW iliyotengenezwa na kitambaa

27/07/2008

BMW wamevumbua rasmi gari aina ya (GINA) ambayo bodi yake imetengenezwa na kitambaa maalum (kama vitambaa vya nguo).

Gari hiyo ambayo kitambaa chake kimevikwa juu ya waya ambazo zimetengenezwa kama kifuatilio cha muundo wa gari hiyo.

Baadhi ya sehemu za gari hiyo kama kwenye milango na taa za mbele, muundo wake umetengenezwa na waya zenye (electro-hydraulic) ambazo hufanya taa hizo macho yake kufunga pale taa zinapozimwa na kufunguka pale zinapowashwa.

Na milango yake halikadhalika.

BMW (GINA) imetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu nje na ndani.

Mkuu wa miundo-mbinu wa BMW amesema, BMW (GINA) haijafikiriwa kuwekwa katika soko hivi sasa lakini itafikiriwa kuwekwa katika soko kwa ajili ya mauzo katika miaka ya baadaye.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©