![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Mpaka waishe!!!29/07/2008
Mkazi mmoja wa jijini Dar es Salaam (kushoto) akimshikilia mtuhumiwa aliyetiwa pingu na kuonja adha ya kirungu sijui cha mgambo (manake nyuma kushoto kuna mgambo ana kirungu)akiswagwa kwenda kituoni. Patashika hii ilitokea katika kituo cha Posta leo hii.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||