Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Wajumbe wa Sullivan watembelea Zanzibar

06/06/2008

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume, akimkabidhi zawadi balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Young huko hoteli ya Kempsiki Pwani Mchangani.

Mke wa rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mama Shadya Karume akimkabidhi zawadi mke wa balozi Andrew Young, wakati wa chakula cha usiku huko hoteli ya Kempsiki Pwani Mchangani, mkoa wa kaskazini Unguja.

Mwenyekiti wa jumuia ya Wawekezaji Watalii Zanzibar (ZATI), bwana Simai Mohammed, akimkabidhi zawadi rais wa Sullivan Foundation, Mrs. Hope Master, wakati wa hafla ya chakula cha usiku kwa wajumbe wa mkutano wa Sullivan walipotembelea Zanzibar huko hoteli ya Kempsiki Pwani Mchangani, mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©