![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Rais Kikwete kuhudhuria mkutano wa Jumuia ya Madola09/06/2008
Pichani juu, Mwenyekiti wa Zenjydar, Bw. Saleh Jaber akisalimiana na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete; rais aliwasili mjini London katika ziara yake ya kikazi. Viongozi na wajumbe wa kutoka jumuia mbalimbali walifika kumpokea mheshimiwa Rais JK. Kushoto kwa JK ni Mhe. balozi Mwanaidi Maajar, nyuma kwa JK ni Mwenyekiti wa Tanzania Association UK, Bw. Abuu Faraji, kushoto kwa Saleh Jaber ni Bw. Haruna Mbeyu na kulia kwa Saleh Jaber ni katibu wa Zenjydar, Bw. Farid Ahmed Nassor. (Picha na dada Mariam Kilumanga). Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasili mjini London kuhudhuria mkutano maalum wa nchi za Jumuia ya Madola ambao unafanyika mjini London. Viongozi na wajumbe wa jumuia mbalimbali za UK ikiwemo Zenjydar, walipata fursa ya kumpokea na kumsalimia rais alipowasili jijini.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||