![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
RAI: Wahadzabe walindwe - Tanzania11/06/2008
Kabila la Hadzabe ni kabila ambalo kisayansi ndilo linatambulika kuwa binadamu wa kwanza alikotoka. Sasa Tanzania ilibidi iwahifadhi iwatunze na waishi maisha yao yale yale waliozoea ili kutopoteza utamaduni wao. Kwa kweli huu ni utajiri mkubwa kwa sisi Watanzania. Wamisri wanapata pesa za kigeni na kuinua uchumi wao kwa ajili ya utalii wa [Pyramids]. Ndugu zangu Watanzania ili kukuza uchumi wetu inabidi tusiangalie 'short term profit' ila tuangalie 'long term profit' kwa ajili ya uchumi endelevu ama kwa kimombo sustainable economic growth of our Country and Global too. Tusiwanyang'anye ardhi yao hao Wahadzabe. Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Tuishauri serikali vizuri kwa manufaa ya umma. Na serikali isipuuzie, huu sio wakati wa kupuuzia mambo muhimu ya umma. Rai imetolewa na: Ludigo Mhagama (Environmental consultant).
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||