![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Shoo ya Kimasomaso13/06/2008
Mwimbaji mashuhuri wa taarab Sabah Muchacho akitumbuiza katika onesho la mavazi la Kimasomaso ukumbi wa NSSF Waterfront usiku wa leo.
Mama wa mitindo Bi Asia Idarous akionesha ubunifu wake wa mavazi ya harusi.
Mkongwe Khadija Mwanamboka anaonesha mamodo wake wa kiume katika mavazi ya harusi huku Khadija Kopa (shoto) na Sabah Muchacho wakiimba wimbo wa 'kimasomaso mwanangu msimuone".
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||