Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Harakati za umeme Zanzibar

14/06/2008

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DR. AMANI ABEID KARUME, AKISALIMIANA NA MAFUNDI WASAIDIZI WA KUFANIKISHA KUPATIKANA KWA UMEME HUKO FUMBA ALIPOTEMBELEA JANA KUONA HARAKATI ZA KURUDISHA NISHATI HIYO ZINAZOENDELEA.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DR. AMANI ABEID KARUME AKIPATA MAELEZO KWA MTAALAM WA UMEME MARTIN BURLS KUTOKA AFRIKA KUSINI ALIPOTEMBELEA KITUO CHA UMEME FUMBA AMBAKO KAZI YA MATENGENEZO IKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©