![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Miss Tanzania (UK)15/06/2008
Balozi Mwanaidi Maajar akimpongeza Tusekile Mwakibinga ambaye alitawazwa rasmi jana usiku kuwa Miss Tanzania UK 2008 kwenye sherehe zilizofanyika ukumbi wa Silver Spoon New Light Complex karibu na Wembley Stadium. Pichani Miss Tanzania Uk 2008 Tusekile Mwakibinga akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Jacqui Majebele (kushoto) na mshindi wa tatu Alice Kapya.
Miss TZ UK 2008 Tusekile Mwakibinga na washindi wa pili na wa tatu. Nyuma kulia ni mshereheshaji Sauda Simba Kilumanga.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||