![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Alhajj Mwinyi apanda mlima Kilimanjaro16/06/2008
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi (katikati) akiwa na wafanyakazi wa Celtel, Prisca Tembo (kulia) na Cuthbert Raphael (kushoto), muda mfupi kabla ya kupanda Mlima Kilimanjaro. Celtel imedhamini sh. milioni 40 kwenye upandaji wa Mlima Kilimanjaro kwa madhumuni ya kusaidia mapambano dhidi ya UKIMWI.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||