![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Mashindano ya Miss ILALA24/06/2008
Washiriki wa shindano la Urembo Miss Ilala 2008, wakiwa katika picha ya pamoja kwenye ukumbi wa Gerezani jijini Dar es Salaam. Warembo hao wanajiwinda kwa ajili ya kushiriki katika shindano litakalowachuja na kubakiwa na washiriki watano watakaoingia kwenye fainali ya kumpata Miss Tanzania 2008/2009. Shindano hilo linatarajia kufanyika usiku wa tarehe 27/06/2008 katika ukumbi wa New City Garden, zamani (Gerezani Club) uliopo jijini Dar, aidha katika mashindano hayo, mshindi wa kwanza ataibuka na kitita cha sh.700,000/= akiwemo mshindi wa pili na watatu.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||