Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Chuo cha Utalii - DAR

25/06/2008

Mfano wa jengo jipya ambalo litakalokuwa Chuo Kikuu cha Utalii barabara ya Shaaban Robert karibu na makumbusho ya taifa na chuo cha IFM jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa chuo cha taifa cha utalii Mama Agnes Mziray, akiangalia mfano wa jengo jipya linalojengwa mtaa wa Shaaban Robert jijini Dar ambalo litakuwa chuo kikuu cha utalii nchini katika azma ya serikali ya kuiboresha sekta hiyo nyeti.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©