Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Filamu ya Juliana

26/06/2008

Baadhi ya wasanii wakiwa katika picha ya pamoja na mama Salma Kikwete ambaye jana usiku kwenye uzinduzi wa filamu ya Juliana iliyochezwa laivu, alikuwa ndiye mgeni wa heshima. Filamu hiyo ilibeba ujumbe uliohusu gonjwa hatari la Ukimwi kwa jamii. Katikati chini ni muigizaji wa Idd Amin (aliyekuwa rais wa Uganda).

Pichani ni muigizaji wa Mwalimu Nyerere pia alikuwapo katika hafla hiyo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©