![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Kipita kushoto kipya cha Kawe28/06/2008
Kawe inazidi kuwa tambarare kila siku. Pichani ni kipita shoto kipya kilichotengenezwa hivi karibuni kwa ajili ya kuondoa msongamano ambao ulikuwa kero hapo awali, baada ya barabara mpya inayokwenda Mbezi beach kupitia Kawe chini kukamilika.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||