![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Mkutano wa 11 wa Umoja wa Afrika30/06/2008
Mwenyekiti wa umoja wa Afrika, rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu pamoja na mwenyeji wao rais Hosni Mubarak wa Misri na naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa Dk. Asha-Rose Migiro asubuhi ya leo wakati wa ufunguzi wa kikao cha 11 cha umoja huo huko Sharm el Sheikh.
Picha ya pamoja ya viongozi wa Afrika kwenye mkutano wao wa 11 wa kawaida huko Misri.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||