Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Ndege ya Airbus A320 Air Tanzania yatua Dar es Salaam

02/05/2008

Ndege ya Airbus A320 ya Air Tanzania Corporation iliyotua Dar wikiendi hii tayari kwa kuboresha huduma za shirika hilo. Ndege hiyo ambayo imekodishwa kutoka kampuni ya Wallice Trading Company ya Ufaransa ina uwezo wa kubeba abiria 150. Afisa mtendaji mkuu wa ATC Mh. David Mataka amesema ndege hiyo itaanza na safari za Dar-Johannesburg kila siku kukidhi mahitaji ya njia hiyo na kwamba baada ya muda mfupi itaanza safari ya Dubai.

Naibu waziri wa miundomibinu Dk. Milton Makongoro Mahanga akimpongeza bosi wa ATC David Mataka baada ya ndege ya Airbus A320 ilokodiwa na ATC kutua Dar jana.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©