![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Habari ya Kifo - OMAR LAMBI04/05/2008
Tunasikitika kutangaza kifo cha OMAR LAMBI kilichotokea jana tarehe 03/05/2008 katika hospitali ya university College Hospital, Euston, London, kutona na cancer ya kichwa "Nasopharyngeal Carlinoma". Historia ya Marehemu: Marehemu Lambi alikuwa Katibu wa kamati ya muda ya Tanzania Association (TA) ilyoratibu rasimu ya katiba hadi kufanikisha uchaguzi Mkuu uliwachagua uongozi wa sasa. Pia huko Tanzania, marehemu Lambo alishawahi kuwa rais wa Chuo Cha usimamizi wa fedha "Instute of Finance Management" (IFM). Lakini kabla ya kumaliza hiyo kazi, marehemu aliandika barua ya kujiuzuru kutokana na hali yake ya afya ili kupata muda zaidi ya kujiuguza. Akiwa hapa Uingereza, Marehemu alikuwa na Master ya Strategic Management na mwezi wa tisa mwaka huu alikuwa yupo mbioni kuchukua PHD. Wakati wa uhai wake alikuwa ni kiongozi wa mfano na aliyejitolea muda wake kwa ajilio ya kufanikisha masuala mbalinmbali yenye faida kwa Watanzania wenzake na Taifa kwa ujumla. Kwa atakayejaaliwa kutoa mchango wake:
Acc No 132589600
Au kwa mawasiliano zaidi wasiliana na:
Almas Kassongo 07983073526 Pinto 07752524846 Waziri Kindamba 07903133646 Marehemu Omar Lambi amezikwa tarehe 06/05/2008, Jumanne, kwenye makaburi ya Hainault, Ilford.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||