![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Habari ya Kifo - KARAMA ABDALLAH BAKHDHARY05/05/2008
Tunasikitika kutangaza kifo cha mzee wetu KARAMA ABDALLAH BAKHDHARY kilichotokea saa 2 asubuhi hii ya leo tarehe 05/05/2008 huko Dar es Salaam. Maziko yatakuwa leo hii tarehe 05/05/2008 huko Dar es Salaam baada ya sala ya Alasir.
Kwa kutoa rambirambi na maelezo zaidi, wasiliana na: Abdallah Karama Simu: 07877835806 (Nje ya UK: +44 7877835806) |
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||