Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

The Apprentice UK yazidi kupamba moto BBC 1

07/05/2008

THE APPRENTICE UK yazidi kupamba moto kwenye programu ya kanati ya BBC 1, wakati wagombea nafasi ya kufanya kazi na Sir Alan Sugar (pichani) wapambana na joto la Morocco katika programu ya usiku huu wa leo saa 9pm, BBC 1.

Sababu ya kuchukuliwa Morocco ni kuwa, Sir Alan Sugar anawataka wagombea hao wapambane na watu ambao hawazungumzi lugha yao na vilevile wapambane na watu wanaouza bidhaa kila kukicha kwenye masoko ya Morocco ambayo yajulikanayo kama 'Souk'.

Usikose hii ya leo! Vinginevyo, The Apprentice huonyeshwa kila Jumatano saa 9pm, BBC 1.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©