Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Ziara ya Karume - Marekani

08/05/2008

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume, akisalimiana na wanafunzi wa nursery baada ya mapokezi yaliyofanywa na uongozi wa chuo kikuu cha South Carolina University katika uwanja wa ndege wa mjini Columbia jana akiwa katika ziara ya kikazi mjini humo.

Mke wa rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Mama Shadya Karume akisalimiana na watoto mara baada ya mapokezi maalum katika uwanja wa ndege wa Columbia.

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume, kushoto kwake rais wa chuo kikuu (South Carolina University) Dk. Leonard McIntyre, mama Shadya Karume, balozi wa Tanzania mjini Washington Mhe. Ombeni Sefue na mke wa balozi Mama Ombeni Sefue wakibadilishana mawazo baada ya mapokezi hayo uwanja wa ndege wa Columbia.

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Mhe. Karume akisalimiana na mwanafunzi kutoka Zanzibar, Daud Ali Mohammed, ambaye anasoma katika chuo kikuu cha South Carolina mjini Columbia mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini humo.

Wimbo maalum ulitayarishwa ambao uliimbwa na watoto wakati wa mapokezi.

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Mhe. Amani Abeid Karume, akisalimiana na mwanafunzi kutoka Zanzibar, Sakina Ahmed Alawy, ambaye anasome katika chuo kikuu cha South Carolina mjini Columbia mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini humo.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©