Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Jengo lawaka moto Kariakoo

10/05/2008

Asubuhi ya kuamkia jana, jengo la ghorofa saba lilipo mtaa wa Mahiwa na Livingstone Kariakoo, Dar es Salaam, limeshika moto na hakuna jitihada za kutosha za kuliokoa kutokana na kutokuwepo kwa vifaa vya uhakika vya kuzimia moto huo,

Pichani juu askari wa kikosi cha Zimamoto cha Kandoro wakiwa hawajui la kufanya baada ya maji kuwaishia eneo la tukio na hivyo kubaki wakilitazama jengo likiendelea kuungua moto kama linavyoonekana.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©