![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Habari ya Kifo - Mzee Juma Omar Juma12/05/2008
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee (Alhajj) Ali Hassan Mwinyi akiongoza sala ya Maiti ya kumsalia Marehemu Mzee Juma Omar Juma, mume wa Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. Mauwa Daftari aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Mtaa wa Bongoyo, Oysterbay, jijini Dar es Salaam; wa kwanza shoto ni Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein.
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji Naibu Waziri wa Mawasiliani Sayansi na Teknoloji Mh. Mauwa Daftari aliyefiliwa na Mumewe huko Nyumbani kwake Oysterbay, Dar es Salaam.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||