![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
JK azindua MV Misungwi13/05/2008
JK akikata utepe kuzindua kivuko cha MV Misungwi cha Kigongo-Busisi ambacho kitakuwa kikiwaunganisha wakazi wa Mwanza, Sengerema na Geita katika kurahisisha kazi zao za kiuchumi za kila siku. Kivuko hicho kipya, kina uwezo wa kubeba abiria 1000, magari 36 na kina tani 400.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||