![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Usalama Dar es Salaam16/05/2008
Jiji la Dar es Salaam linazidi kuimarishiwa ulinzi. Pichani, farasi ambao wanatumika kulinda jiji la Dar es Salaam wakiwa wameizunguka gari ngeni yenye namba ya Kenya ambayo ilisimama hapo kwa kipindi kirefu usoni mwa jengo la Haidary Plaza. Haikujulikana mara moja sababu za kuizunguka gari hiyo, lakini polisi hao waliandika kijinote na kuwaachia ujumbe wenye gari.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||