![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Manchester United mabingwa wa EUROPEAN CUP 200821/05/2008
Christiano Ronald akionekana pichani akikenua huku akiwa ameshika kombe la ushindi wa European Cup 2008 kuiwakilisha timu yake Manchester United.
Baada ya pata shika ya wachezaji wa timu kubwa za England ambazo zimefika fainali ya kombe la Europe 2008 (Manchester United na Chelsea), mshindi kapatikana baada ya 120 na penalti kumi na ushii. Mshindi wa European Cup 2008 ni Manchester United.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||