![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Bi Salma na mpira, Bi Salma na mpira, shuti Goooooo!24/05/2008
Mama wa Kwanza Salma Kikwete akipiga mpira wa miguu kuzindua fainali za mchezo huo kati ya timu ya Nzega Football club na Shule ya Sekondari Uchama iliyopo Nzega. Katika mchezo huo Nzega FC iliibuka kidedea kwa kushinda Uchama kwa penalti.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||