![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Sherehe za mradi wa maji Zanzibar29/05/2008
Wasanii wa kikundi cha ngoma ya asili ya Zanzibar, wakicheza kwa kuongozwa na msanii Ali Mohammed, kwa kupuliza zumari akiwa amelala chini, wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Chumbuni, Zanzibar, ambao ulizinduliwa na Spika wa Bunge la Muungano, Samwel Sitta, kwa ufadhili wa Kampuni ya Sigara (TCC).
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta, akinawa maji mara baada ya kuzindua rasmi mradi wa maji ambao umefadhiliwa na Kampuni ya Sigara (TCC), katika hafla iliyofanyika Chumbuni, Zanzibar.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||