![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Gari ya Almasi30/05/2008
Gari ya almasi aina ya Mercedes Benz SL 600 ilikuwa katika moja ya magari ya maonyesho na mauzo ya magari ya maonyesho maalum.
Gari hiyo inamilikiwa na Prince Waleed bin Talal Alsaud wa Saudi Arabia.
Hii ni gari yake ya 38 katika listi ya magari aliyokuwa nayo.
Thamani ya gari hii ni $4.8 million.
Katika maonyesho ya magari hayo, imewekwa wazi kabisa kuwa ukitaka kuigusa gari hii, basi ulipe $1000 kuigusa tu!
Ilibaki watu yao macho.
Huyu ndiye Prince Waleed bin Talal Alsaud, tajiri wa kwanza katika bara la Arabu na Mwarabu tajiri duniani. Ana umri wa miaka 53 na ni mmoja katika familia ya kifalme ya Saudi Arabia.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||