Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Amanda Sululu ni Miss Universe wa Tanzania 2008

31/05/2008

Miss Universe TZ 2008 Amanda Sululu, akipozi muda mfupi baada ya kutangazwa kwenye Ukumbi wa Movenpick usiku kuamkia leo. Huyu ndiye mrithi wa Flavian Matata ambaye mwaka jana aliingia tano bora kwenye mchuano wa dunia. Amanda si mgeni sana kwenye fani hii kwani mwaka jana alishiriki Miss Tanzania.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©