Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Rais Karume ahutubia baraza la Eid Zanzibar

02/10/2008

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Mhe. Alhaj Dk. Amani Abeid Karume alipokuwa akizungumza na wananchi na waumini wa dini ya Kiislamu walioalikwa katika baraza la Eid-el-fitr huko ukumbi wa Salama, Bwawani, Zanzibar jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Mhe. Alhaj Dk. Amani Abeid Karume akisalimiana na wananchi waliofika kupokea mkono wa Eid-el-fitr huko viwanja vya Ikulu, Zanzibar jana.

Baadhi ya wananchi na watoto waliofika kupokea mkono wa Eid-el-fitr huko viwanja vya Ikulu, Zanzibar jana, wakiwa katika utaratibu maalum wa kupatiwa zawadi ya sikukuu kama wanavyoonekana pichani.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©