Baraza la Eid Zanzibar
03/10/2008

Pichani ni Waziri kiongozi mstaafu wa
Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamadi (katikati) akibadilishana mawazo na
Wastaafu wenzake DK Mohammed Gharib Bilali (kushoto) na Ramadhani Haji
Faki kwenye Baraza la Eid-el-fitr lililofanyika kwenye Hoteli ya Bwawani
mjini Zanzibar.
|