Swala ya Eid-el-fitr 2008
- Dar es Salaam
04/10/2008

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (Kushoto) akiwa
na waumini wenzake wa Kiislam katika Sala ya Eid-el-fitr katika msikiti
wa Kinondoni Muslim asubuhi ya siku ya Eid. Rais Kikwete alirejea nchini
majuzi usiku kuwahi siku hiyo muhimu, akitokea nchini Marekani ambapo
alilihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa.
|