Dk. Shein amtunza Mzee
Msuya
06/10/2008

Makamu wa Rais Dk Ali
Mohamed Shein akimvalisha tunzo ya ushindi wa mwananchi bora wa Wilaya
ya Mwanga Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mh. David Cleopa Msuya wakati
wa sherehe za baraza la Eid-el-Fitr zilizofanyika kitaifa katika msikiti
wa AL-MASJID MUNAWARA katika kitongoji cha Mororo Wilayani Mwanga Mkoa
wa Kilimanjaro leo.
|