Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Sherehe za tunuku ya Kamisheni Maafisa

21/10/2008

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Botswana Lt. Gen. Seretse Khama Ian Khama wakati wa sherehe za kuwatunuku kamisheni maafisa wa jeshi katika chuo cha jeshi Monduli leo. Jumla ya wanafunzi 22 kutoka Botswana walikuwa miongoni mwa maafisa wapya waliohitimu leo. Rais Khama aliwasili juzi katika ziara ya kikazi ya siku mbili nchini.

Amiri Jeshi Mkuu JK akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe za kuwatunuku kamisheni maafisa wa jeshi katika chuo cha jeshi Monduli leo. Jumla ya wanafunzi 22 kutoka Botswana walikuwa miongoni mqwa maafisa wapya waliohitimu leo.

Amiri jeshi mkuu JK akimpongeza na kumzawadia Mwanafunzi bora katika mafunzo ya maafisa wa jeshi Luteni Usu Israel Ibrahim Mwashala, wakati wa sherehe za kuwatunuku maafisa wapya wa jeshi waliohitimu mafunzo ya mwaka mmoja katika chuo cha jeshi TMA kilichipo Monduli, mkoni Arusha.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©