Kikao cha kumi cha Bunge
la Afrika
27/10/2008

Mbunge
wa Kisarawe ambaye pia ni mbunge wa Afrika Mh. Athumani Janguo (pili
shoto) akishiriki katika kikao cha 10 cha kawaida cha bunge la Afrika
leo mjini Pretoria, Afrika ya kusini baada ya kufunguliwa na mwenyekiti
wa umoja wa Afrika JK.

JK akipokewa na Rais wa
Bunge la Afrika Dk. Getrude Mongela uwanja wa ndege wa Oliver Tambo
usiku kuamkia leo. Mchana huu Jk amefungua kikao cha 10 cha kawaida cha
bunge hilo na kurejea Tanzania kuendelea na ziara yake ya siku 8 ya mkoa
wa Tabora.
|