![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Habari kwenye miondoko (MyNewham.mobi)28/10/2008
Mynewham.mobi ni huduma ya habari ambazo zinapatikana kwa njia ya simu (mobile). Huduma hiyo imeanzishwa mwezi Septemba ikiwapa habari kwa wakazi na wageni wanaopendelea kujua habari mbalimbali kuhusu bara la Newham ambalo ni bara litakalofanyika Olympic mwaka 2012, mjini London. Huduma hiyo haiishii hapo, katika simu yako (mobile phone) unaweza kujihudumia na huduma mbalimbali ambazo zinapatikana kwenye mamlaka ya bara la Newham. Habari ambazo unaweza kupata kwa njia ya simu (mobile) zikiwemo Michezo, Habari za biashara na Wafanya biashara, Olympic 2012, Ramani, Habari za usafiri wa UK (ikiwemo treni, ndege na mabasi) na sehemu za tafrija. Wale ambao wanapata Internet kwenye simu zao, wanaweza kutumia huduma hiyo kwa kuandika kiungo hiki: mynewham.mobi au kutuma text "newham" kwenye namba 65101 kama inavyoonyesha pichani juu na utapokea maelezo ya kutumia huduma hiyo. Kwa kupata maelezo zaidi kwa njia ya barua pepe, tuma barua pepe: mobile@newham.gov.uk
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||