![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Karume akagua nyumba za Yatima01/09/2008
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume (wa Tatu kushoto), akipata maelezo juu ya maendeleo ya ujenzi wa Nyumba ya Watoto Yatima.
Nyumba hizo zinajengwa na jumuiya inayoshuhulikia Elimu, Mazingira na Maendeleo ya Vijana(ZAYEDESA) huko Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar, kutoka kwa Mkurugenzi wa idara ya ujenzi, Wizara ya Maji Ujenzi na Ardhi, Mohammed Ahmed Mohammed, (kushoto) na Mwenyekiti wa ZAYEDESA na Kulia ni Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||