![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Zain yatoa kalenda za Ramadhan08/09/2008
Kaimu Mufti wa Tanzania, Shekhe Suleiman Gorogosi akipokea kalenda inayoonyesha ratiba ya muda wa kufunga na kufuturu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutoka kwa Meneja Masoko wa Zain Tanzania, Kelvin Twisa, vilivyotolewa na Kampuni ya Zain kwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), jijni Dar hivi karibuni.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||