![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Futari msikiti wa Manyema13/09/2008
Hapo ni nje ya msikiti wa Manyema Mtaa Wa Mafia na Ukame, Kariakoo. Kila mwaka vijana takribani wote wanaoishi mitaa hiyo hujikusanya wakisubiri muda wa adhaa ili wapate kufungua Kinywa na Waislamu wenzao wanaokuja kuswali msikitini hapo.
Imekuwa ni utamaduni wa kila mwaka unapofika mwezi wa Ramadhan vitafunio tofauti, matunda mchanganyiko hukusanywa na kuwekwa pamoja ili wapate kuwafungulisha kinywa wote kila anaekuja na matunda au kitafunio huweka hapo na kuchanganya na wenziwe.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||