Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Dk. Shein afuturu na wananchi, Pemba

14/09/2008

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein (wa Pili Kulia) akila futari pamoja na Wananchi wa Kisiwa cha Pemba aliyoiandaa kwa ajili ya Wananchi wa Kisiwa hicho huko katika Ikulu ya Chakechake jana. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Juma Kassim Tindwa, kulia Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mh. Dadi Faki Dadi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein katikati akila futari pamoja na Wananchi wa Kisiwa cha Pemba aliyoiandaa kwa ajili ya Wananchi wa Kisiwa hicho huko katika Ikulu ya Chakechake jana. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mh. Juma Kassim Tindwa kulia Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Dadi Faki Dadi.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©