Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Zain yafuturisha yatima

15/09/2008

Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Bi. Tunu Kavishe (kulia) akimnywesha juisi mmoja wa watoto wasiojiweza wanaolelewa katika kituo cha Amani wilayani Kilolo mkoani Iringa mwishoni mwa wiki. Zain ilifuturisha watoto yatima na kuwapa zawadi anuwai.

Meneja Ufundi wa Zain Nyanda za Juu Kusini, Bw. Julius Mwinula (kulia) akimlisha mmoja wa watoto wasiojiweza wanaolelewa katika kituo cha Amani wilayani Kilolo mkoani Iringa mwishoni mwa wiki. Zain ilifuturisha watoto yatima na kuwapa zawadi anuwai.

Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tanzania, Bi. Tunu Kavishe akikabidhi boksi la majani ya chai na zawadi nyingine anuwai kwa mtoto yatima, Edo Mgolano aliyepokea kwa niaba ya wenzake wa kituo cha Amani wilayani Kilolo mkoani Iringa mwishoni mwa wiki. Zain pia ilifuturisha watoto hao yatima. Anayeshuhudia kulia ni Meneja Ufundi wa Zain Nyanda za Juu Kusini, Bw. Julius Mwinula.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©