Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Hafla ya kuchangia Pemba Panorama Project

18/09/2008

Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza na Jamhuri ya Ireland, Mheshimiwa Mwanaidi S. Maajar, akiwa na maofisa wa Ubalozi na wahusika wengine waliohudhuria hafla hiyo.

Habari Kamili:

Tarehe 12/09/2008 Jumuiya ya Wanadiplomasia Vijana ya London (Young Diplomats Association in London – YDL) kwa kushirikaiana na Friends of Commonwealth na Ubalozi wa Tanzania London, waliandaa hafla ya kuchangia mradi wa Pemba Panorama (Pemba Panorama Project), iliyofanyika Marlborough House, Pall Mall, London.

Mradi huo uliombwa na Zanzibar International Film Festival (ZIFF), kwa lengo la kuwasaidia kina mama wenye kipato kidogo Kisiwani Pemba. Zaidi ya watu 250 walihudhuria hafla hiyo iliyoanza saa moja na nusu jioni hadi saa sita usiku.

Katika hafla hiyo jumla ya zawadi 42 zilishindaniwa, kwa dhumuni la kutunisha mfuko huo wa kusaidia maendeleo ya kina mama, Pemba.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©