![]() |
|
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS |
||||||||
|
|
||||||||
Vodacom yafuturisha Zanzibar22/09/2008
Mh. Fatma Maghimbi mbunge wa Chake Chake, Pemba, Zanzibar akitoa shukran baada ya futari na makabidhiano ya zawadi kutoka Vodacom Foundation kwenda kwa watoto 1,000 wa madrasa Pemba.
Vijana wa madrasa wakifuturu Unguja.
Wasichana wa madrasa wakifuturu Unguja.
Bi Mwamvita Makamba Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Huduma kwa Jamii cha Vodacom Foundation akiwa na watoto baada ya Futari Unguja.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||