Waziri Pinda afuturisha
Dar es Salaam
26/09/2008

Waziri
Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa amemkumbatia mtoto Hassan Rehani wakati wa
kutoa mkono wa shukrani kwa wageni walioshiriki katika futari
aliyoiandaa nyumbani kwake Dar es Salaam mwishoni mwa wiki kwa ajili ya
waislam walio katika mfungo wa mwezi mtukufu.
|