NBC yafuturisha Zanzibar
27/09/2008

Rais wa Zanzibar Mh. Amani
Abeid Karume akipata wakati wa futari iliyoandaliwa na benki ya NBC
hoteli ya Zanzibar Beach Resort. Kulia kwake ni Mkuu wa Hazina wa NBC
Lawrence Mafuru.

Rais wa Zanzibar Mh. Amani
Abeid Karume akiwa na Meneja Masoko wa NBC William Kallaghe wakiwasili
kwenye futari ya NBC hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
|