Mount Kilimanjaro

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

 
ProfileToolsGamesCommunity

NEWS

 
 

Odinga atembelea Zanzibar

28/09/2008

Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Mhe. Shamsi Vuai Nahodha akimkaribisha Waziri Mkuu wa Kenya, Mhe Raila Amolo Odinga muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar jana kwa ziara ya siku moja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Amani Abeid Karume akipokea zawadi kutoka kwa Waziri Mkuu wa Kenya, Mhe. Raila Amolo Odinga. Mhe. Odinga alimtembelea Mhe. Rais Karume Ikulu ya zamani mjini Zanzibar.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
News Archive

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©