Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS archive

 

 06 January 2008

Gari yagonga hodi katika nyumba ya familia ya Chapmans

Familia ya Chapmans wa Essex, England, waliamka na kukuta gari ya aina ya Nissan 4x4 imewagongea hodi bila ya mwaliko. Inasemekana ajali hiyo ilisababishwa na hali mbaya ya hewa ambayo imesababisha barabara kuwa katika hali mbaya na kusababisha ajali kama hiyo.

Sehemu ilipoingia hiyo gari ni kawaida chumba cha kucheza cha wajukuu wa mzee Chapman wakija kumtembelea babu yao. Bahati nzuri wikiendi hii, hawakuja kwa babu yao kumtembelea.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©