Mount Kilimanjaro

 

 

 

Your community website

Beit El Ajaib
     

HomeNewsServicesEventsAbout UsContact Us

ProfileToolsGamesCommunity

NEWS archive

 
 

 08 January 2008

Kimbunga chaikumba Scotland na Ireland Kaskazini

Kimbunga cha hali mbaya ya hewa kimepiga Scotland na Ireland kaskazini, ambayo imesababisha kubomoka kwa majengo na ajali barabarani. Polisi wa Scotland walitangaza kwa kutoa onyo kwa madereva kuangalia mwendo wao wakiwa barabarani ambao umesababisha magari kupinduka.

Maelfu wa watu waliachwa bila ya umeme baada ya kimbunga hicho cha mwendo wa kilomita sabini kwa saa kilipoingia Scotland.

 

   
 

Custom Search

Go up

 

Quick Links

Watch Television
Events Calendar
News Archive 2008
News Archive 2007

External Links

Alnoor CET
TZ Embassy UK
TZ's Community UK

© www.zenjydar.co.uk - Since 2007 | Web master | Site map | www.zenjydar.co.uk - Since 2007 ©