![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS archive |
||||||||
|
08 January 2008 |
||||||||
Rais wa Zanzibar azindua mtandao
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, mheshimiwa Amani Abeid Karume, akibonyeza kompyuta kuashiria kuzindua mfumo wa pamoja wa usimamizi wa fedha (Integrated financial), ambao utaunganisha kompyuta za wizara, idara na taasisi mbalimbali.
Hafla hiyo iliandaliwa na wizara ya fedha na uchumi, ikiwa ni miongoni mwa sherehe za kutimia miaka 44 ya mapinduzi ya Zanzibar. |
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||