![]() |
Your community website |
![]() |
||||||
|
|
|
|||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
|
||||||||
|
NEWS archive |
||||||||
|
12 January 2008 |
||||||||
Filamu ya Benazir Bhutto (Bhutto The Movie)
Mauaji ya Benazir Bhutto yalikuwa ni drama na yameonekana kwenye televisheni dunia nzima na kwenye vyombo mbalimbali vya habari.
Mpaka sasa, makampuni makubwa
ya filamu wanashindania kupata fursa ya kutengenza filamu ya
'Bhutto The Movie'. Vishesh Films na Vox Vision/Sum Films
wamesema wameshaanza kukusanya habari za historia ya
kiongozi wa zamani wa Pakistan, Benazir Bhutto. Mkurugenzi
Mukesh Bhatt wa kampuni ya Vishesh Films iliyopo Mumbai,
India, amesema watu maalum wa kutoka chama cha (PPP) cha
Benazir Bhutto wamemfuata kuzungumzia fikra hiyo na
Inasemekana kuwa marehemu Benazir Bhutto alipoenda kutembea India mwaka 1972, alipewa fursa na kampuni ya Bollywood kuwa katika filamu ya kihindi. Wakati huo alikuwa miaka 18. Kushoto pichani, Benazir Bhutto na waziri wa mambo ya nje wa India walipotembelea India na baba yake marehemu rais Zulfikar Ali Bhutto alipokutana na Indira Gandhi mwaka 1972.
|
||||||||
|
Custom Search
|
||||||||
|
|
|
|||||||
|
©
www.zenjydar.co.uk - Since 2007 |
|
||||||||